Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa neno baada ya vitanda kuonekana nje

Kuweka mahema na kujudumia wagonjwa nje sio kosa huu ni ubunifu na kuonyesha jinsi hospitali zinavyopambana kuhudumia wagonjwa hata kama wamezidiwa. Hii hata tumekuwa tukiona hospitali za nchi nyingne zikifanya.
 
Hii nchi bana...., Yaani kila mtu Msanii...
 
Ficha ujinga wako! Hospitali hazilazi wagonjwa hovyo hovyo tu, bali zinalaza kulingana na aina za maradhi.

Umedhihirisha ukanjanja wako!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28] itakua ushaanza route za kwampalange ww
 
Sio ulipaliwa mate,kwani hukupewa hata huduma ya kwanza,au ulijitambulisha unatoka mtaa wa kijani.
 

Wewe ccm imeharibu ubongo wako
 
Mnajua kuwa tuna watoto wetu wanafanya kazi hapo. Tunapukutika mnakana hakuna corona
Kwanza Huyo mtoto wako.. Hana maadili. Hatunzi siri za wagonjwa..
Pili mi nipo muhimbili hapa nashangaa sana kuona mwananchi wa kawaida anapotoa taarifa ambayo haijaichunguza wala kuuliza lengo LA kufanya hivyo... Anafanya hivyo ili kuzua taharuki..
 
Hiyo ni kweli kabisa. Asiyetaka kuamini hilo ni tatizo lake binafsi.
 
Hivi kwani tukiwa wakweli itakuwaje? Kazi ziendelee lkn tuchukue taadhari zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…