Mchalinze
JF-Expert Member
- Jun 7, 2025
- 266
- 735
Salamu ndugu zangu,
Nakumbuka kuna siku nilileta bandiko linalohusu kuomba ambulance kwa ajili ya kumpakia mke wangu endapo angepata changamoto usiku, japo sikupewa ila nashukuru Mungu uchungu ulimpata mchana kwa hiyo ilikuwa rahisi kupata usafiri kwa kumfikisha hospitali, Vijibweni kwa upande wa wodi ya kinamama aisee mmepatendea haki wahusika, jengo ni kubwa, huduma nzuri ila kuna changamoto moja ya wahudumu
Naomba ingewezekana wahudumu wakae sehemu moja ili mambo yote yamalizike pale pale sio unaambiwa nenda jengo lengine kuna mtu akakusahinie kisha uende jengo jengine kuna mtu akakague karatasi then ndo uje huku inakuwa ni kupotezeana muda.
Na pia mtu wa bima awepo kulekule wodini na kuhusu gharama sikuchangia hata senti kwasababu nilitumia bima, nilivyoona mke wangu mimba imefika miezi 5 nikaenda kumkatia bima