Hospitali ya wagonjwa wa akili

Hospitali ya wagonjwa wa akili

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. wakamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "duh! mpango wetu wa kutoroka ushafeli!" basi wakaghairi!!!!
 
Back
Top Bottom