DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa, hana majibu mazuri.

Fedha za Basket Fund tunazikusanya na tunapata, lakini hakuna malipo yanayofanyika. Tumechoka na hali hii. Katibu na MOI hawasikilizi hoja za watumishi wao; ni kulalamika tu hakuna hela.
 
Subir waliajiriwa wenzio waje muungane Kwa pamoja
 
Subir waliajiriwa wenzio waje muungane Kwa pamoja kutoa kero zenu sis tulio jiqjiri tuwape fursa
 
Nimeambiwa na bwana mmoja ya kwamba fedha za basket hazijaja, zaidi ya miezi 9 sasa, huko kwenye vituo vya huduma za afya hali ni mbaya sana. Hata kwetu wazabuni hatuna matumaini ya kulipwa madeni yetu tunaodai vituo vya huduma za afya.
 
Back
Top Bottom