Kariuki Mikocheni.Habari zenu ndugu Napenda kujua ni hospitali gani ntapata huduma ya kupima CTSCAN kwa mkoa wa Dar es salaam.Kwani ninaumwa na daktari alinishauri nikafanye vipimo vya ctscan na ukizingatia natoka mkoani Tabora nimekuja Dar kikazi ya siku moja.ntakuwa Dar siku ya jumatatu tu.Naombeni msaada
Labinisia Tegeta wako vizuriHabari zenu ndugu Napenda kujua ni hospitali gani ntapata huduma ya kupima CTSCAN kwa mkoa wa Dar es salaam.Kwani ninaumwa na daktari alinishauri nikafanye vipimo vya ctscan na ukizingatia natoka mkoani Tabora nimekuja Dar kikazi ya siku moja.ntakuwa Dar siku ya jumatatu tu.Naombeni msaada
Mkuu wameshaanza kufanya au badoHuko Tabora pia kuna huduma za CT Scan kwenye hospitali hii http://malolohospital.co.tz/
Wameshaanza na kwa maelekezo zaidi piga simu zipo hapo kwenye website yaoMkuu wameshaanza kufanya au bado