Hospitali yenye huduma ya CTscan

Hospitali yenye huduma ya CTscan

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Habari zenu ndugu Napenda kujua ni hospitali gani ntapata huduma ya kupima CTSCAN kwa mkoa wa Dar es salaam.Kwani ninaumwa na daktari alinishauri nikafanye vipimo vya ctscan na ukizingatia natoka mkoani Tabora nimekuja Dar kikazi ya siku moja.ntakuwa Dar siku ya jumatatu tu.Naombeni msaada
 
Kariuki Mikocheni.
 
Mlioko mjini TOHS (dar group) hawana hii huduma?
 
Habari zenu ndugu Napenda kujua ni hospitali gani ntapata huduma ya kupima CTSCAN kwa mkoa wa Dar es salaam.Kwani ninaumwa na daktari alinishauri nikafanye vipimo vya ctscan na ukizingatia natoka mkoani Tabora nimekuja Dar kikazi ya siku moja.ntakuwa Dar siku ya jumatatu tu.Naombeni msaada
Labinisia Tegeta wako vizuri
 
Naombeni namba ya simu kama kuna mtu yuko kwenye kati ya REGENCY AU TMJ niende siku hiyo anisadie
 
Back
Top Bottom