Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

Hospitali za serikali zimewekeza kuokoa wenye changamoto ya upumuaji?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko.

Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu yaani kuwa na hospitali zenye hadhi.

Moja tatizo la sasa ni changamoto ya upumuaji. Je, tupo imara kwenye afya kuhudumia wenye tatizo la upumuaji? Mbona hakuna mkakati wa wazi wa upimaji na uhudumiaji wagonjwa hawa?

Waziri wa afya watu wanapukutika, pls tusaidie taifa.
 
Dunia nzima iko Overwhelmed na hili Janga nchi Masikini kama Tanzania unataka ifanye nini?
 
 
Miradi inayotapakanya fedha waisimamishe kwanza wanunue mitungi ya oxygen.
 
Mkuu be serious! Umaskini ndio uwe kigezo cha kutochukua hatua stahiki? Utakuwa ni uzwazwa kama tukishindwa kuwalinda raia hawa watanzania kwa kigezo cha umaskini na huo uongozi hautufai.
Hatua stahiki kama zipi we mbwa?
 
Dunia nzima iko Overwhelmed na hili Janga nchi Masikini kama Tanzania unataka ifanye nini??
Tanzania sio maskini sisi ni donor kantre, pawepo na PPE's za kutosha, sio kila siku tunasikia madaktari wanalalamika wanafanya kazi kwenye mazingira magumu, na hata hao madaktari na lile tamko lao la kioga kuwaambia wenzao waendelee kufanya kazi huku wakikiri kuna changamoto ya ukosefu wa vifaa tiba vya kutosha ni sawa na kutojali uhai wa madaktari wenzao.
 
Hospitali zitawekeza vipi katika ugonjwa ambao haupo?Serekali si ilishasema kuwa Tanzania hakuna Corona!Unaandika kama mtu ambae haishi Tanzania!
Nashangaa, iwekeze kwenye kitu ambacho hakipo? Ni upotezaji wa rasilimali wa bure.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Baadhi ya hospitali maji tiririka ni adimu, hakuna hata sanitizer mapokezi nacukiingia bila barakoa poa tu.
 
Waziri Bashunga aelezwa changamoto kubwa ni mitungi ya gesi wala siyo uzalishaji wa oxygen. Mitungi mitupu ya gesi waTanzania wanaifanya ni bidhaa nyingine ya "Chuma Chakavu" na kuiuza badala ya kuirejesha kiwandani ikajazwe oxygen !
22 Apr 2020

WAZIRI BASHUNGWA ALIVYOTEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA OXYGEN.
.


WAZIRI wa viwanda na biashara, Innocent Bashungwa, ametembelea kiwanda cha kuzalisha oxygen, na kutoa wito kwa watanzania kwa yeyote mwenye chupa ya oxygen nyumbani kwake awasiliane na kiwanda cha Tanzania Oxygen Limited ili airudishe.

Source: Global TV online
 
China inapigania chanjo isambazwe kwa nchi zote duniani bila kubagua, hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Wang Yi

February 18, 2021

Chinese FM stresses importance of reducing vaccine deficit​



Chinese State Councilor and Foreign Minister Wang Yi said the world should come together to reject vaccine nationalism, promote fair and equitable distribution of vaccines, and in particular, make them accessible and affordable for developing countries, including those in conflicts. He made the remarks on Wednesday at a virtual meeting of the United Nations Security Council concerning COVID-19 vaccine distribution.

Source: CGTN

Kazi kwenu wizara ya Afya ya Tanzania na wajumbe wa Secretariat ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Taifa kuishauri na kushawishi Baraza la Usalama wa Taifa , serikali ya Tanzania na uongozi wake wa juu jinsi ya kupambana na janga hili kisayansi zaidi
WAJUMBE WA BARAZA LA USALAMA WA TAIFA:

Mdau Gallius anadokeza :

The Council consists of;

(a) the President
(b) the Deputy President
(c) the Cabinet Secretary responsible for defence
(d) the Cabinet Secretary responsible for foreign affairs
(e) the Cabinet Secretary responsible for internal security
(f) the Attorney-General
(g) the Chief of Tanzania People Defence Forces
(h) the Director-General of the Tanzania Intelligence Security Service
(i) the Inspector-General of the Tanzania Police Force.

The Council shall exercise supervisory control over national security organs and perform any other functions prescribed by national legislation.

The President shall preside at meetings of the Council.

The Council shall appoint its secretary.

The Council shall--

(a) integrate the domestic, foreign and military policies relating to national security in order to enable the national security organs to co-operate and function effectively
(b) assess and appraise the objectives, commitments and risks to the Republic in respect of actual and potential national security capabilities.

The Council may, with the approval of Parliament--

(a) deploy national forces outside Tanzania for--

(i) regional or international peace support operations; or
(ii) other support operations; and

(b) approve the deployment of foreign forces in Tanzania.

Nadhani umeelewa sasa Mkuu.
 
Secretariet ya Baraza la Usalama na Ulinzi lijiongeze na kutazama suala la kuikinga nchi ikiwemo na raia wake wasiteketee kwa magonjwa hatari (ulinzi wa Afya ya Jamii) pia, mbali ya majukumu yake yaliyozoeleka ya kuratibu masuala ya ulinzi na usalama ndani ya majeshi, usalama wa nchi na mipaka ya nchi yake, kupeleka majeshi ya kulinda amani nje ya mipaka, ulinzi wa miundombinu.
www.cdc.gov › winter-2017 › why-...
Why It Matters: The Pandemic Threat | Division of Global Health Protection - CDC

Global health security is how we stop outbreaks from becoming widespread pandemics that threaten us all. 36 Hours: U.S. National Security at Risk...

Sekretarieti ya Baraza La Usalama wa Taifa Limeutembelea MRADI WA SGR,Yaridhishwa na kasi ya Ujenzi

 
Back
Top Bottom