1. Chini ya TAMISEMI ni full wizi tokea juu hadi wagonjwa kubambikiziwa bills, ati alimradi hospitali zipate chake, cha juu chetu.
2. Kwamba waibiwa hadi wagonjwa taabani wanaoelekea kufa.
3. Hilo #2, hakuna kinachofanyika kulidhibiti hilo. Hospitali zimetekwa nyara na kufanyishwa udalali pasipokuwa na udhibiti wowote