Hospitali zipi/ipi nzuri kwa mama mjamzito kuhudhuria clinic

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,849
Reaction score
2,132
Wadau habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa kutambua hospitali nzuri kwa mama mjamzito, hasa ukizingatia mhusika mwenyewe ni mimba ya kwanza. Asanteni kwa ushirikiano.
 
Mkuu yoyote inafaa ili mradi wawe wanapima ngoma!
 
Agakhan hospital, na kama faranga zimekutembelea nenda Trauma center ni dola elfu 3 tu kujifungua!
 
Wadau habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa kutambua hospitali nzuri kwa mama mjamzito, hasa ukizingatia mhusika mwenyewe ni mimba ya kwanza. Asanteni kwa ushirikiano.

Massana Hospital pale Mbezi Samaki kwa Dr. Lema ni kuzuri pia. Utafurahia huduma zao.

Tiba
 
Nashukuru wote kwa ushauri wenu.
 
Agakhan hospital, na kama faranga zimekutembelea nenda Trauma center ni dola elfu 3 tu kujifungua!

Nsiande thax, Hivi Aghakan sio kwamba ni jina kubwa tu? nimewahi kuona malalamiko kadhaa kuhusu huduma zao.
 
Nenda muhimbili fast truck ni nzuri ata my wife alipita uko as nilimtoa pale agha khani walikuwa wanakomaa na operation!
 
Wadau habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa kutambua hospitali nzuri kwa mama mjamzito, hasa ukizingatia mhusika mwenyewe ni mimba ya kwanza. Asanteni kwa ushirikiano.

Hili nalo ni muhimu, nashukuru kwa kuuliza. Niko Dar es Salaam

Kumbe mhusika mwenyewe ni wewe mwenyewe?

Njoo Regency medical Centre.
 
hongera neggirl karibu kwenye mother club tunakukaribisha sana, usisahau kujiunga baby center ni nzuri pia kwa ajili ya maendeleo yako na kiumbe chako.. tuko pamoja
 
Nenda regency, agakan, trauma center kama ni uneventful pregancy. If it has some complications please go to muhimbili. But remember a choice of attending physician. You can PM me for advice
 
Nenda Muhimbili Fasti traki huduma bora halafu hawalazimishi visu kama kwengine mpaka hali iwe hivyo, bei ni 270,000 tu, upo mwayego?
 
hongera neggirl karibu kwenye mother club tunakukaribisha sana, usisahau kujiunga baby center ni nzuri pia kwa ajili ya maendeleo yako na kiumbe chako.. tuko pamoja

Nashukuru sn, baby centre nimeshajiunga wako poa sana.
 
Sorry, Masana, hapa si ndo pa yule dr. aliebaka mgonjwa lets miaka miwili nyuma??????????????????
 
Nami nakushauri uende Muhimbili fasti traki wana huduma nzuri pale. huko pengine kuzaa kwa kisu sio ishu kwao.
 
Back
Top Bottom