Hospitali zipi/ipi nzuri kwa mama mjamzito kuhudhuria clinic

Hospitali zipi/ipi nzuri kwa mama mjamzito kuhudhuria clinic

Nenda huko ulikoshauriwa na babu Aspirin,hapa ukicheki location yake hapo yupo maternity ward.So he knows exactly wat he is talking about.
 
Massana Hospital pale Mbezi Samaki kwa Dr. Lema ni kuzuri pia. Utafurahia huduma zao.

Tiba

NOT Massana nor Muhimbili
wote sijarecommend

ikibidi umeenda muhimbili uwwe na mtu anae kufahamu akupeleke kwa Dr mzuri
else u might be disapointed
 
Regency ilikuwa zamani siku izi hovyo just last month walimlaza mgonjwa wa TB ambaye hajaanza dose kwa wadi ya waja wazito eti kisa general ward ilikuwa imejaa.Pambafu sana wale wahindi jamaa yangu ilibidi amtoe mkewe fasta akampeleka kwa fast truck!
Alafu regency wachafu!
Jina kubwa huduma hovyo mi huwa naenda kwa ajili ya vipimo tuu/check up basi!
 
Hospitali ya visu
nimejifungua agakhan mara 2 zote bila operation tena walikuwa wananipa moyo nijitahidi all will go fine... i made it ok

wana specialists wazuri ambao wamenisaidia as a person so i will go there anytime any day and recommend the same to all. Muhimbili nishaenda mara 2 beefore my kids and ended up loosing my pregnancies both times kwa sababu ya uzembe wao ... tena nilikuwa fast track... chini ya daktari bingwa

kama ni mimba isiyokuwa na taabu... hakuna complications nenda tu as wale hawana haraka...else aga khan ni wazuri
 
NOT Massana nor Muhimbili
wote sijarecommend

ikibidi umeenda muhimbili uwwe na mtu anae kufahamu akupeleke kwa Dr mzuri
else u might be disapointed
Mimi nimejifungua pale mara mbili.Nenda fast truck huduma zake nzuri na mara zote labour ina madaktari
 
Jamani mm naomba kujua,kati ya AAR na MARIE STOPES wapi pazuri pakuanzia clinic ya wajawazito?
 
Back
Top Bottom