Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Hospitalini;*
*Amina;--* Tumbo linaniuma sana toka jana
*Daktari;--* Pole, utapona ulikula nini jana? kabla ya tumbo kuaza kuuma?
*Amina;-* Pizza, keki, nyama choma na juisi
*Daktari:* Tafadhali sema Ukweli hapa ni Hospitalini sio Instagram au facebook.
*Amina:* maparachichi na ugali maharage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]