ziko maeneo ya ubungo maziwa..specific kwa wanachuo wanaotegemewa kuanza au ambao wapo vyuoni. wengine mtafikiriwa.umeme,maji vipo..eneo tulivu,ni mwendo wa dk kumi kwenda mabibo hotel,karibu na stand ya mabasi ya mikoani na mengine,,karibuu kabisaaa na usafiri wa train...ni self contained room,nyumba ni mpyaaa haijawahi kutumika
for those interested chumba kimoja mtu mmoja tsh 100000.....incase mnashare room only two people each 70000..NIMESHINDWA KUUPLOAD PICHA,,mods msaada
Mkurgenzi vyumba bado vipo hivi sasa?ziko maeneo ya ubungo maziwa..specific kwa wanachuo wanaotegemewa kuanza au ambao wapo vyuoni. wengine mtafikiriwa.umeme,maji vipo..eneo tulivu,ni mwendo wa dk kumi kwenda mabibo hotel,karibu na stand ya mabasi ya mikoani na mengine,,karibuu kabisaaa na usafiri wa train...ni self contained room,nyumba ni mpyaaa haijawahi kutumika
for those interested chumba kimoja mtu mmoja tsh 100000.....incase mnashare room only two people each 70000..NIMESHINDWA KUUPLOAD PICHA,,mods msaada