HOSTEL,HOSTEL,HOSTEL (SELF CONTAINED rooms) zinapangishwa


du yani huu uzi ukalishe juu by october wahitaji ni wengi

lkn pia bei ya sharing umeipandisha mno

pia sijui kama kuna security ya kutosha au kila siku full kuibiwa
 
Mkuu kwanza Karibu JF Home of Great Thinkers! Pili asante kwa tangazo nita ku PM ( yaani kukutumia ujumbe private) kuna mdogo wangu anatafuta hostel.
 
Okey ushauri umechukuliwa....asante sana kwa ukaribisho thou si mgeni humu ndani
 
Security ipo mkuu...hapo kwenye kushare thts reasonable kwasababu...kila kichwa kitafanya matumizi binafsi...wote watanyosha.,, kuoga., kufua...chumba kikitumiwa na mtu mmoja ni tofauti na wakiwa wawili.as matumiz yanaongzeka
 
Mkurgenzi vyumba bado vipo hivi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…