Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliongea vema japo conclusion yako ina "walakini"watoto wa chuo wapo above 18,ni watu wazima.
mzazi wa mtoto below 18 usiruhusu mtoto akae hostel ambayo siyo shule.ukimweka mtoto katika hosteli za mitaani ni sawa umempangishia chumba mtaani.
ni bora utafute nyumba zenye familia karibu na shule uwalipe ,mwanao aishi nao.kwani hapo watakuwa ni wazazi wa mtoto wako ,pia watamjenga mwanao ki maadili.
poleni wazazi mlio na watoto ktk hostel za mtaani kwa watoto wa form 4 au 5-6 .kwani huko watoto wanajifunza kuchuna mabuzi,kwenda disko,kuuza ngono fasta fasta etc
Jukumu la maadili la ya mtoto ni la MZAZI,MWALIMU JUKUMU LAKE NI ELIMU NA UTASHI WA MTOTO.