Hosting ni expensive sana

Hosting ni expensive sana

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost

Ipo hivi ulitumua python kama backend cost hazishikiki

Web App - Tumetumia Azure web app ($55/mo)

Postgresql - render ($20/mo)

Media file 1.2TB - Wasabi storage bucket ($6/mo)

Domain - godaddy ($25/mo)

STMP server - AWS SES ($ 1 -5 /mo)

Exchange rate API - ($ 12)
 
Hujafanya research ya kutosha ndo maana ukaangukia kwenye expensive hosting platforms. Kwanini usinge deploy to vercel instead of Azure
 
Kati yenu watu wa computer niwaonao hapa , kuna mwenye uwezo wa kutrack vifaa vyangu vimeibiwa tufanye biashara ?
 
Back
Top Bottom