Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafurahi kama kweli
Mi naangalia tu binamu, maana mpaka nimekosa jipya la kuongea kuhusu mama ubaya, maana yote nimeshasema, sasa ivi nasubir movie tu itakavyoisha
ha ha ha haaaah,,,,,,,,utaanza na demu gani humu??
Anajishaua
Yeye ndio wakwanza kupenda au atakuwa wa mwisho????????
Mwanaume gani anayesema madhaifu yako kwenye media na yeye yupo tu
Na ndomo mwenyewe anawatumia tu kutafuta umaarufu...utasikia wimbo mpya atamalizia na "kikao cha harusi na menina" bado tu wema kang'ang'ana
Ndio ushangaee,kwanza mwanaume wa kubadilisha badilisha wanawake hovyo na marafiki zako humo humo huyo ni mwanaume naee??
Ila kwa umalaya wote wanatoka droo simlaumu domo
Mie sometimes huwa nahisi wema hana akili maana kafanyiwa mambo mabaya ila lipo tu linang'ang'ana.Mwanaume anatoka na rafiki zako bado hakupi chochote cha maana then unaendelea kukomaa?
Mie sometimes huwa nahisi wema hana akili maana kafanyiwa mambo mabaya ila lipo tu linang'ang'ana.Mwanaume anatoka na rafiki zako bado hakupi chochote cha maana then unaendelea kukomaa?
Ndio ushangaee,kwanza mwanaume wa kubadilisha badilisha wanawake hovyo na marafiki zako humo humo huyo ni mwanaume naee??
Ila kwa umalaya wote wanatoka droo simlaumu domo
Mi naangalia tu binamu, maana mpaka nimekosa jipya la kuongea kuhusu mama ubaya, maana yote nimeshasema, sasa ivi nasubir movie tu itakavyoisha
Labda anachukua kozi ya udakatareee,Daimond angekua anampenda Wema angemuoa siku nyingi na kumbuka Dai anamsikiliza sana mama yake ogopa mwanaume anaemsikiliza sana mama yake maana mama atamuamrisha kila kitu na atafata we mke hata umwambie nini mume hakusikiiii ng'00000
Domo kasanuka wema mbibi hafai kua wife material,mda wote yuko n mashoga kwenye vigodoro familia ataiweza huyo
Domo kasanuka wema mbibi hafai kua wife material,mda wote yuko n mashoga kwenye vigodoro familia ataiweza huyo
Kwa kweli
Kwenye kutembeza nyuchi wamelingana... tena heri wema anatembeza hukoooo kuliko huyo bazazi anayekula marafiki za wema
Halafu issue zao sasa zimegeuka kuwa chukizo masikioni... ndomo atafute strategy mpya