mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
Sawa mkomalieAisee ungekuwa,hujaolewa ningeomba,nikuoe ili watoto wawe more intelligent kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkomalieAisee ungekuwa,hujaolewa ningeomba,nikuoe ili watoto wawe more intelligent kama wewe
Looooh,,wewe sio MTU wa kawaidaUsinitanie hapa huyo sio demu na huyo Pict sio yeye Ila kama VP we jilipue tu
Ogopa sana old school techniquesninadhani ile ni movie tu basi tena yenye outdated techniques, cold war crafts.
Mimi ni wakawaida ila ni mkongweLooooh,,wewe sio MTU wa kawaida
Anchukulia Mimi ni nanga kweli kweliSawa mkomalie
Punguza kunifuatiliaUmewajuaje???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wewe hutaki followers niniPunguza kunifuatilia
Anamaswali ya kikuda sana huyo mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu wewe hutaki followers nini
No means yes in Africa
Endelea kutangatanga ili nikunyanyue tuheshimianeAlafu we dogo haujitaki nini? Naona unanifuatilia saana. Umejichoka eh?
Kaka, mbona hii comment ni ya zamani sana ndio ume reply jana?Endelea kutangatanga ili nikunyanyue tuheshimiane
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kaka, mbona hii comment ni ya zamani sana ndio ume reply jana?
Eneo zuri hili...ngoja nikunjue kirago changu.Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki kuwa moja kati ya njia muhimu na hatari sana zitumiwazo na serikali zote duniani katika ukusanyaji wa taarifa kutoka kwa mahasimu wake.
Kwa mara zote mafanikio ama kushindwa kwa majasusi kumewezesha kubadilika kwa sera za nchi za nje za serikali kote duniani, kumebadili meulekeo na mapigano ya vita na kuacha kovu kubwa sana, mara nyingi kovu hilo hufichwa, katika historia ya dunia.
Viongozi wa dunia huwa ukabiliwa na hali zinazowahitaji kufanya maamuzi magumu na muhimu kila kukicha na taarifa sahihi ndio kitu pekee muhimu katika kuyafanya maamuzi hayo kuwa sahihi. taarifa kama adui yako ana jeshi lenye ukubwa kiasi gani (mfano.
Al shabaab na Boko haram)? Wamefikia kiwango gani cha kutengeneza silaha hatari za siri? Je wana mpango wa kuingia katika makubaliano ya kibiashara na nchi nyingine? Je kuna baadi ya makamanda wa kijeshi wanapanga mapinduzi? Mara nyingi njia za ukusanyaji wa taarifa za kijasusi hutofautiana kulingana na utofauti wa taarifa zenyewe zinazohitajika.
Sasa swali lipo mezani, je ni njia gani hawa intelligence officers (kama vile former KGB, CIA na hata MOSSAD) walitumia kupata taarifa katika moja kati ya operations zao walizozifanya hapo awali?Wale wanaojiitaga wazee wa kusoma kutoka google akina Infantry Soldier, BM-40 OPERATOR, Weltmeisterschaftung, pamoja na wengine kibao nawataka hapa leo hii.
kuna kum-sacrife the queen pia umesahau!Kina "smooth operators"...."silent killers"......"cold beauty"......"deadly sweetness"......."sweet poison"......"queen of darkness".....na wengine kibao, kwao obtaining such info is a piece of cake!
Mostly I believe being a Spy should be [HASHTAG]#Born[/HASHTAG] & [HASHTAG]#Bread[/HASHTAG] from the Inside out and not the Outside in! Kama umekua designed naturally (umezaliwa hivyo) kuwa Spy then hakuna mission itakua ngumu , only utaPata challenges kibao to cut you down, na the more you face them challenges the more it cuts you into something even more deadly & great!