[h=1]Mastaa wa Bongo: [/h]Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imempa ushindi msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael Lulu, katika kesi ya kujadili upya umri wake. Akitangaza ushindi huo jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Twalib Fauz, ameupa ushindi upande wa utetezi uliopeleka ombi la kuujadili upya umri wa msanii huyo na kuutupilia mbali umri wa miaka 18 alioandikisha kituo cha polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Lulu Asubirie adhabu ya raia kwan mahakaman hakuna haki icpokua sheria!Hii nchi ya kusadikika kwel duh!
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha
Kwa Ajili ya Umri wake; Mahakama ya Kisutu iligoma kujadili Umri wake
New episode to come.....stay tuned!