Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake


Mtoto kama ikijulikana kuwa alikuwa anajua alichokuwa anakifanya wakati wa tukio sheria inamhukumu kama kawaida. Hapa napata wasiwasi kuwa mtoto Lulu kumbe alikuwa gereza la wakubwa kinyume cha sheria itabidi haraka sana aende kukaa gereza la watoto wenzake. Lakini ni kwa vipi pia mtoto aliiingia mikataba mbalimbali ya kibiashara wakati umri haumruhusu? Nadhani ni wakati muafaka kwa wafanyabiashara kudai mamilioni yao kwa kudanganywa na mtoto huyu kwani mikataba yao ni batili abi initio wajameni. Kweli hapa kuna mambo mengi yanaweza kuibuka upyaaaa kisheria na kimahakama kwa ajiri ya usanii wa LULU
 
Huyu ni minor na hata akaunti zake inabidi atafutwe guardin vinginevyo hizi sheria tutakuwa tunakurupuka kila siku. Tehe tehe mambo haya ni Tanzania tu hutokea
 
Hivi uamuzi umeshafanyika au upande wa utetezi uliambiwa ukalete supporting documents hadi 28 June ifanyiwe uamuzi? I stand to be corrected!!
 

Na hapa ndiyo Lulu atashindia maana ripoti ya daktari ilisema kuna mtikisiko wa ubongo but hakukuwepo na dalili ya kupigwa au micchubuko na ndipo ikabidi wachukue vinywaji vipimwe kwa mkemia kuona kama kuna sumu!!!
 
Baada ua kuchoropoa Mimba sasa anavaa Jinziii, aisee Bongo tambarare, kwa mtindo huuu sijui kama ataacha vijitabia vyake akitoka ! Mungu amuongoze

Eti walisema huwa ana tatizo la mimba kutoka na hii ni ya t!atu. Kama ni kweli jua kizani kimeshaharibika na ni ngumu kuzaa, screw kwishey!! Mishididi ya nchi kumi na mbili imeshau kizazi kabisa!! Poor her na umri mdogo!!
 
Sio yeye tu, njemba wote walioonekana wakijidai na Lulu sasa matumbo moto

Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha
 

ab initio. nimeipenda hii.

Lakini mikataba itakuwa batili au inaweza kubatilishwa? Maana hawa major walioingia nae mikataba si walikuwa na jukumu la kulinda haki za watoto kama watu wazima? Na sio kwamba Sheria ya Mikataba imeweka kigezo cha umri ili haki za watoto zisipokonywe na watu ambao si waungwana, na watu waungwana wasiingie kwenye lawama bila kujua?

Nitafurahi kupata ufafanuzi.
 
Sasa yule mzee mwenye tumbo ambaye alikuwa na uhusiano naye si afunguliwe kesi ya kutembea na mtoto chini ya miaka kumi na nane. Ni mbunge wa chama cha magamba. Haha

Sasa haka katoto si kalikuwa kanakaa kama tai kifuani kwa mzee wa presha.. kweli kuishi kwingi..... Mtoto ni mdogo ila amebeba idadi kuwa na maumbo makubwa. Kweli Elizabeth ni sawa na forklift.
 
Aisee... kuishi kwingi kuona mengi, nimepita tu hapa wakuu...
 
Nchi hii ina sheria lkn watunga sharia ndio MAKENGANJUHI wakubwa wanabaka lkn nani atawapeleka mahakamani wakati polisi ndo washenga wao? Watanzania ni Mabingwa wa kusahau kama tumerogwa vile! Wandishi walisema hawataripoti wiki ya nenda kwa usalama mkoani Iringa lkn TV zetu na magazeti yameandika habari zote za mkoani iringa za wiki ya nenda kawa usalama au hazikuandikwa na waandishi? lbd mm sijuwi nn maana ya waandishi! NO NO NO NO Wasipo andika watakula wapi? Duh bora kila mtu achukue sheria mkononi kama kule Mbalizi Mbeya. Lulu ukiachwiwa hatukubali labda ukaishi ahera lkn siyo hapa Duniani.
 
Tafadahli mnijuze maana sielewi, uamuzi wa mahakama ni kukubali uchunguzi wa umri wa Lulu ufanyike au mahakama ndio imesha rule out kuwa ni "mtoto"! maana kama ni kuhusu kuruhusu uchunguzi ufanyike bado inaweza kubainika baadae kuwa wakati anatenda kosa alikuwa na umri wa miaka 18!
 
Ushindi? Upi?

Kesi ilienda mahakama kuu kwa ajili ya nini?

Hata ukiangalia sura yake ni ya kitoto japo kamekomaa matiti sababu ya mzee kitumbo wa Magamba na Marehemu Kanumba kuyasumbua, kanastaili katolewe maana walikafanya kile ambacho umri wake hakakuwa na maamzi ya kutosha kung'amua utapeli wao
 

Kwa mjibu wa CPA umri wa mtuumiwa unakuja inapokuja kipindi cha kutoa adhabu, maana watoto chini ya miaka 18 wako na sheria yao na wanasikilizwa na Juvenile Court na utoaji wa ushaidi ni tofauti, pia hata maabusu zao ni tofauti na za watu wa umri wa miaka 18 na kuendelea. Adhabu zao pia zinatofautiana kulingana na mtuumiwa ametenda kosa mara ngapi. Soma kesi ya
Mokamambogo v. R. (1971)​
Soma pia Desertation ya Christina S. Maganga: Adiministration of Juvenile Justice in Tanzania​
 
Chadema kama kawaida yao wataandamana kwa hili
 
Sasa kama kama sasa kapo under 18 kanachapwa hivyo, kakifika 30 huko chini si kutakuwa balaa??? So sad kupata hard times katika umri mdogo.
 
Mpaka hapo kanastahili kupewa dhamana, na kusubiria kesi yake kwenye mahakama za watoto!kazi imepikwa hii hadi imeiva,na wamesubiri wakati huu nchi inaweweseka na RPC,Mwangosi na Fujo za waislam hapo ndio wameitoa hukumu ku balance tension.sisi tusio na majina na back up tutaishia kuozea jela tu,mtoto amenawiri kweli kweli sababu alikuwa anajua nini kitafuata.ajipange tena upya maana wafuasi wa "jack daniel" bado wana hasira nae,akitoka apate safari hata dubai hivi akapumzike kwa miaka 3 hivi ndio arejee kuanza upya na abadilishe jina kabisa na tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…