callmeGhost
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 278
- 832
Kuingia ndani ya geti kabla ya Saa kumi na mbili, usijeleta majambazi. Alafu usilete marafiki.Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa
Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri kukutupa mkono, huna kazi wala kipato chochote lakini maisha yanasonga tu kwa kufunua hot pot iliyojaa vyakula vizuri na vitamu kwa kupitia jasho la mtu mwingine
Ni changamoto zipi tunazipitia?
1 shikamoo ni jadi ili uweze kuendelea kufunua hot pot
2 msosi ni wa kengele, lazima ufuate ratiba ya muda wa kula yaani hata kama unashughuli zako lazima ufuate time ya kula
3 Utakula chakula hata usichokihitaji (penda) zaidi wewe utakachofunua ndio hiko lazima ule
Share challenge unazokutana nazo huko kwenu ewe mkuu ambayebado unafunua hot pot na wadogo zako ilhali umri umekutupa mkono
Hiyo kinyonge sasa.Nina braza angu anakimbiZA 35 yupo kwa maza ake job kama kawa akilud anachek pot lina mazaga gani[emoji6] [emoji6]
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Mekumithiii pia jamani sijakuona muda nikadhani umepigwa buniNeema nimekumisi my dear!
brain is the beautiful part of the body.
kuwa mpole kila wakati! na kusupport kila jambo linaloamuliwaKwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa
Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri kukutupa mkono, huna kazi wala kipato chochote lakini maisha yanasonga tu kwa kufunua hot pot iliyojaa vyakula vizuri na vitamu kwa kupitia jasho la mtu mwingine
Ni changamoto zipi tunazipitia?
1 shikamoo ni jadi ili uweze kuendelea kufunua hot pot
2 msosi ni wa kengele, lazima ufuate ratiba ya muda wa kula yaani hata kama unashughuli zako lazima ufuate time ya kula
3 Utakula chakula hata usichokihitaji (penda) zaidi wewe utakachofunua ndio hiko lazima ule
Share challenge unazokutana nazo huko kwenu ewe mkuu ambayebado unafunua hot pot na wadogo zako ilhali umri umekutupa mkono
Wala! Nami kutokuona nkahisi umehama huu mji?Mekumithiii pia jamani sijakuona muda nikadhani umepigwa buni
Huu mji nimeuzoea siwezi kuhama kabisa nikienda pengine nitatesekaWala! Nami kutokuona nkahisi umehama huu mji?
brain is the beautiful part of the body.
Hehe eti utateseka! Kwa nini vile?Huu mji nimeuzoea siwezi kuhama kabisa nikienda pengine nitateseka
Na wewe huu uzi unakuhusu, hujahama kwenu tu?Huu mji nimeuzoea siwezi kuhama kabisa nikienda pengine nitateseka
Mimi sijachangia ila nimefurahishwa na huyo aliyechangia pale juu nikajikuta nimembusu kwa nguvuNa wewe huu uzi unakuhusu, hujahama kwenu tu?
brain is the beautiful part of the body.
Basi tuachie uzi wetu, kumbe ushakuwa mhenga sasa kama hauko kwenu!Mimi sijachangia ila nimefurahishwa na huyo aliyechangia pale juu nikajikuta nimembusu kwa nguvu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Basi tuachie uzi wetu, kumbe ushakuwa mhenga sasa kama hauko kwenu!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3]yupi huyo mama?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umemis comments za wadau hawachelewi kutupoteza, niliona kule shemeji yetu aliku mention ila hukufika kushukuru
Wale wenye ugomvi wa kuombana pesa[emoji3][emoji3]yupi huyo mama?
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3]ukweli mbaya ila lazima usemwe!Utasaidia kutenga misosi mezani,utanawisha watoto wa familia mikono,peke yako ndo unatoa asante,utaosha vyombo,utachanja kuni,utaambiwa kula kidogo kama wakubwa zako kumbe wao washajipiga mazaga town kitaaamboo,Utakuwa wa kwanza kuamka udeki nyumba,maji yakiisha utaenda kisima wewe hadi watu wote waoge ndipo uoge wewe,
Asee yapo mengi sana kuyasema,kwa leo naishia hapa.
Nota bene:it is thru research mimi sihusiki moja kwa moja.
sent by IPhone 6 using jamii forum app
HahahahahKushow love kwa watoto wa shemeji km vile kupiga nao selfie, kuweka picha zao km wallpaper na kuwachekesha kwa stori za ajabu ajabu.
Hahaaaa nani anapenda kumulikwa au kufungiwa tochi?[emoji3][emoji3]ukweli mbaya ila lazima usemwe!
Mbona signature yako (simu) haitoki automatically mkuu [emoji3][emoji3]?
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaaaa nani anapenda kumulikwa au kufungiwa tochi?
Tuanzie hapo kwanza
sent by IPhone 6 using jamii forum app