Hot pot family tukutane hapa miaka (25-30s)

Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa

Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri kukutupa mkono, huna kazi wala kipato chochote lakini maisha yanasonga tu kwa kufunua hot pot iliyojaa vyakula vizuri na vitamu kwa kupitia jasho la mtu mwingine

Ni changamoto zipi tunazipitia?

1 shikamoo ni jadi ili uweze kuendelea kufunua hot pot

2 msosi ni wa kengele, lazima ufuate ratiba ya muda wa kula yaani hata kama unashughuli zako lazima ufuate time ya kula

3 Utakula chakula hata usichokihitaji (penda) zaidi wewe utakachofunua ndio hiko lazima ule

Share challenge unazokutana nazo huko kwenu ewe mkuu ambayebado unafunua hot pot na wadogo zako ilhali umri umekutupa mkono
Kuingia ndani ya geti kabla ya Saa kumi na mbili, usijeleta majambazi. Alafu usilete marafiki.

-callmeGhost
 
Nina braza angu anakimbiZA 35 yupo kwa maza ake job kama kawa akilud anachek pot lina mazaga gani[emoji6] [emoji6]

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Hiyo kinyonge sasa.

Huyo hawezi kukua kiakili hata siku moja.

Sasa Maisha yake binafsi ataanza lini?

Samahani, hivi huyo Ndugu yako anae Mtoto au Watoto?
 
Kwa wale vijana wote tulio na umri kuanza miaka 25 na kuendelea lakini bado tunaishi kwa wazazi na ndugu zetu tukutane hapa

Hizi ni hot pot family, yaani kijana unakuepo kwenu licha ya umri kukutupa mkono, huna kazi wala kipato chochote lakini maisha yanasonga tu kwa kufunua hot pot iliyojaa vyakula vizuri na vitamu kwa kupitia jasho la mtu mwingine

Ni changamoto zipi tunazipitia?

1 shikamoo ni jadi ili uweze kuendelea kufunua hot pot

2 msosi ni wa kengele, lazima ufuate ratiba ya muda wa kula yaani hata kama unashughuli zako lazima ufuate time ya kula

3 Utakula chakula hata usichokihitaji (penda) zaidi wewe utakachofunua ndio hiko lazima ule

Share challenge unazokutana nazo huko kwenu ewe mkuu ambayebado unafunua hot pot na wadogo zako ilhali umri umekutupa mkono
kuwa mpole kila wakati! na kusupport kila jambo linaloamuliwa
 
Basi tuachie uzi wetu, kumbe ushakuwa mhenga sasa kama hauko kwenu!

brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umemis comments za wadau hawachelewi kutupoteza, niliona kule shemeji yetu aliku mention ila hukufika kushukuru
 
Utasaidia kutenga misosi mezani,utanawisha watoto wa familia mikono,peke yako ndo unatoa asante,utaosha vyombo,utachanja kuni,utaambiwa kula kidogo kama wakubwa zako kumbe wao washajipiga mazaga town kitaaamboo,Utakuwa wa kwanza kuamka udeki nyumba,maji yakiisha utaenda kisima wewe hadi watu wote waoge ndipo uoge wewe,

Asee yapo mengi sana kuyasema,kwa leo naishia hapa.
Nota bene:it is thru research mimi sihusiki moja kwa moja.

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
[emoji3][emoji3]ukweli mbaya ila lazima usemwe!

Mbona signature yako (simu) haitoki automatically mkuu [emoji3][emoji3]?

brain is the beautiful part of the body.
 
[emoji3][emoji3]ukweli mbaya ila lazima usemwe!

Mbona signature yako (simu) haitoki automatically mkuu [emoji3][emoji3]?

brain is the beautiful part of the body.
Hahaaaa nani anapenda kumulikwa au kufungiwa tochi?
Tuanzie hapo kwanza

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Hahaaaa nani anapenda kumulikwa au kufungiwa tochi?
Tuanzie hapo kwanza

sent by IPhone 6 using jamii forum app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

brain is the beautiful part of the body.
 
  • Kumsindikiza sister/bro/mdingi/shemeji au mama kwenye safari zozote zile upende usipende, iwe kusuka, shambani, sokoni, wakitembelea ndugu na jamaa n.k.
  • Simu yako lazima iwe na charge 24hrs incase sister/bro//mdingi/shemeji au mama wakichelewa rudi..Au kama kuna emergency..
  • Kusindikiza wageni usiku hasa wakina mama au dada..
  • Kuulizwa umbea wa mtaani wahusika wakitoka job..
  • Kama kuna mbwa na mifugo mingine hiyo kazi yako..
  • Kuminya minya change utumwapo ili ununue bundle/fegi n.k.
  • Kuulizwa ulizwa kila wakati na ndugu na jamaa wafanya shughuli gani mpaka sasa..
  • Kupeleka watoto kituoni wachukue basi la shule na kuwachukuwa
  • Kupalilia na usafi wa nje kama hakuna houseboy..
  • Shughuli yaja kuamulia ugomvi wahusika wanapokwaruzana, maana wote wanakuweka mjini..
  • Kuruka ruka ukuta ukisepa debe au mtoko na kumgongea housegirl au watoto wakubwa ukirudi..
  • Kuiba magari ya wahusika wakilala maana ukiwaomba wabishi..
Ni shughuli kwa kweli...
 
Back
Top Bottom