Hot pot family tukutane hapa miaka (25-30s)

Hot pot family tukutane hapa miaka (25-30s)

Aisee huu uzi...tuache utani ni situation ngumu sana, hasa ukiwa unaishi kwa ndugu!

Bora hata yawepo hayo mahotpot ya kufunua, mwingine utakuta makusudi kabisa hapiki hasa mmewe au watoto wake wanapokuwa hawapo!!

Kufagia uwanja, kufyeka na kukwaa lazima ujiongeze tu!

Huwezi kaa sebuleni kizembezembe, na hata ukikaa sana lazima ujishtukie...

Niliwahi ulizwa siku moja, bado tu hujapata kazi??
 
Nakumbuka ant ang alinfanya nitoke kwenda ktafta life mjin. Kila cku anasema nimshike mtoto yey afue visepe vya mwanae. Duu nkajiongeza fasta
 
Aisee huu uzi...tuache utani ni situation ngumu sana, hasa ukiwa unaishi kwa ndugu!

Bora hata yawepo hayo mahotpot ya kufunua, mwingine utakuta makusudi kabisa hapiki hasa mmewe au watoto wake wanapokuwa hawapo!!

Kufagia uwanja, kufyeka na kukwaa lazima ujiongeze tu!

Huwezi kaa sebuleni kizembezembe, na hata ukikaa sana lazima ujishtukie...

Niliwahi ulizwa siku moja, bado tu hujapata kazi??

dah....I feel you brother pole

Sadly ndio mfumo wetu wa maisha kubebana kupitia extended families, hapo unatia akili unapata maisha yako
 
Niliyakataa hayo maisha kitambo hichoooo- sikuchagua kazi nilichojali ni uhalali wa kazi yenyewe na kipato chake ,niliingia mtaani kwa nguvu moja ya kazi. Namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri nipogo kwangu kitambo
 
Hiyo kinyonge sasa.

Huyo hawezi kukua kiakili hata siku moja.

Sasa Maisha yake binafsi ataanza lini?

Samahani, hivi huyo Ndugu yako anae Mtoto au Watoto?
Hana mtoto uyu

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna maisha ya kifala kama haya ya hotpot family, nimewahi kuyaishi baada ya kumaliza kidato cha sita, yanakela mno

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Hana mtoto uyu

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Na Uzee huo!

Hana Mtoto!

Halafu bado anafunua!

Nilikuuliza hilo Suali, sababu nikawa naogopa iwapo kama yeye Ndugu yako anae Mtoto, anao Watoto, na bado anaendelea kufunua.

Ni kinyonge mara mbili,

Kwanza yeye anafunua, Pili na Mtoto/Watoto Ake/Wake.

Kama ni Mtu wa kuelewa na anashaurika, nakuomba umshauri akajianzie Maisha yake mapya.

Asiogope Maisha, na sio lazima achukue Nyumba upande Mzima.

Kwa kuanzia akapange japo Chumba kimoja Uswazi, asitake Mambo makubwa. Baadae mambo yatakapotengemaa ndio atachagua Maisha atakayoyataka.

Ila kwa sasa aje pande zetu za Uswazi, vyumba Bei nafuu kulingamisha na maeneo mengine, atamudu tu.

Maisha ya Uswazi matamu sana
 
Kweli kabisa mkuu

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Aisee huu uzi...tuache utani ni situation ngumu sana, hasa ukiwa unaishi kwa ndugu!

Bora hata yawepo hayo mahotpot ya kufunua, mwingine utakuta makusudi kabisa hapiki hasa mmewe au watoto wake wanapokuwa hawapo!!

Kufagia uwanja, kufyeka na kukwaa lazima ujiongeze tu!

Huwezi kaa sebuleni kizembezembe, na hata ukikaa sana lazima ujishtukie...

Niliwahi ulizwa siku moja, bado tu hujapata kazi??
pole sana mkuu
ndio utafute kazi ujitegemee, kila changamoto lazima ikuoneshe pa kutokea
 
  • Kumsindikiza sister/bro/mdingi/shemeji au mama kwenye safari zozote zile upende usipende, iwe kusuka, shambani, sokoni, wakitembelea ndugu na jamaa n.k.
  • Simu yako lazima iwe na charge 24hrs incase sister/bro//mdingi/shemeji au mama wakichelewa rudi..Au kama kuna emergency..
  • Kusindikiza wageni usiku hasa wakina mama au dada..
  • Kuulizwa umbea wa mtaani wahusika wakitoka job..
  • Kama kuna mbwa na mifugo mingine hiyo kazi yako..
  • Kuminya minya change utumwapo ili ununue bundle/fegi n.k.
  • Kuulizwa ulizwa kila wakati na ndugu na jamaa wafanya shughuli gani mpaka sasa..
  • Kupeleka watoto kituoni wachukue basi la shule na kuwachukuwa
  • Kupalilia na usafi wa nje kama hakuna houseboy..
  • Shughuli yaja kuamulia ugomvi wahusika wanapokwaruzana, maana wote wanakuweka mjini..
  • Kuruka ruka ukuta ukisepa debe au mtoko na kumgongea housegirl au watoto wakubwa ukirudi..
  • Kuiba magari ya wahusika wakilala maana ukiwaomba wabishi..
Ni shughuli kwa kweli...
Hii taabu sasa, hapo lazima uniongeze tu
 
Aisee kero ya kwanza unatakiwa kila siku uwe wa kwanza kuamka, ukichelewa utaona kila mtu anakushangaa
Kero ya pili wakija wageni unatambulishwa wanaanza kukuuliza unajishughulisha na nini (sijui inawahusu nini teh)
 
pole sana mkuu
ndio utafute kazi ujitegemee, kila changamoto lazima ikuoneshe pa kutokea
Mkuu hiyo hali nilikutana nayo 2011/012...na ilkuwa kipindi cha mpito tu, nashukuru niliondoka na sasa najitegemea!!
 
Back
Top Bottom