Hot soccer fans around-world

...Yaelekea Tanzania hatujafikia ukichaa wa kushangilia soka kiasi hiki....Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake!!....Inapendeza wadada wetu bongo nao wahamasike...
 
Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake
Hivi huyu jamaa bado yupo?
 
picha zote hujawaweka wabrazil lol!!
 
...Yaelekea Tanzania hatujafikia ukichaa wa kushangilia soka kiasi hiki....Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake!!....Inapendeza wadada wetu bongo nao wahamasike...
"ilaumiwe mahakama" - Yamungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…