Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Yaelekea Tanzania hatujafikia ukichaa wa kushangilia soka kiasi hiki....Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake!!....Inapendeza wadada wetu bongo nao wahamasike...
Hivi huyu jamaa bado yupo?Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake
"ilaumiwe mahakama" - Yamungu...Yaelekea Tanzania hatujafikia ukichaa wa kushangilia soka kiasi hiki....Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake!!....Inapendeza wadada wetu bongo nao wahamasike...
Tanzania
![]()