Hot story

OK ngoja niche mkuu
achana na huyo jamaa tupe uhondo weka hata zote.kwanza huyo goole ni muongo kwa nini atuambie kuwa hadith bado inatungwa
kumbe yeye mwenyewe ana ikopi kutoka sehemu nyingine.wewe endelea kutupa uhondo malizia zote zilizo baki
 
Bora uendelee maana huyo google2014 hawez maana anaona amisha onekana muongo
 
Mngeacha tu aliyeileta mwanzo akaendelea, mbona ailikuwa anaileta vivuri tu, hapa yatakuwa yale yale kama ile hadithi ya kizuizi

basi huyu google2014 atusamehe kwa kugandamizia asijetususia buree
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
jamani sio vizuri hivyo..mnamkatisha tamaa mwezenu

nashukuru sana alivyojitokeza mtu na kuendelea kutuma part zilizo bakia aendelee tu worry out mimi ni majuku ndio maana nachelewa kutuma.

then hakuna sehemu niliyo declare kwamba ninatunga mimi huyo anayeniukumu amekosea sana.
 
Hii story mpaka Mpaka Kasinde apate crash kwa Eddy ndio naacha kusoma
 
nashukuru sana alivyojitokeza mtu na kuendelea kutuma part zilizo bakia aendelee tu worry out mimi ni majuku ndio maana nachelewa kutuma.

then hakuna sehemu niliyo declare kwamba ninatunga mimi huyo anayeniukumu amekosea sana.

daaaaaaah...usikasilike jamani ndo binadamu tulivyo...ukisusa wengine tufanyaje jamani wakati tumeshaizoea..plz kakaangu acha nao hao..fanya kuimalizia story.
 
Duh!! Jamani endelea kutupa uhondo google2014 endelea tu hapohapo jamaa alipoishia.....usikasirike binadamu kazi tuchukuliane tu madhaifu yetu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Nilijua tu haya yatatokea kama yalivyotokea kwa mizambwa, huyo kama alikuwa nayo tangu mwanzo why hakuileta hapa mapema, hadith imefika sehemu ya 29 ndio anaibuka! google2014 endelea kutuletea hadithi, yule amesema haileti, malizia tu ndg yangu

nashukuru sana alivyojitokeza mtu na kuendelea kutuma part zilizo bakia aendelee tu worry out mimi ni majuku ndio maana nachelewa kutuma.

then hakuna sehemu niliyo declare kwamba ninatunga mimi huyo anayeniukumu amekosea sana.
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu haya yatatokea kama yalivyotokea kwa mizambwa, huyo kama alikuwa nayo tangu mwanzo why hakuileta hapa mapema, hadith imefika sehemu ya 29 ndio anaibuka! google2014 endelea kutuletea hadithi, yule amesema haileti, malizia tu ndg yangu

sema wewe ndugu yangu..mi nimeishiwa pozi kabisa..kunawatu wanaviwelewelee...sijui walikuwa wapi siku zote..
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana alivyojitokeza mtu na kuendelea kutuma part zilizo bakia aendelee tu worry out mimi ni majuku ndio maana nachelewa kutuma.

then hakuna sehemu niliyo declare kwamba ninatunga mimi huyo anayeniukumu amekosea sana.

Samehe ndugu yangu ushushe vitu vyako endeleza pale alipoishia huyu binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…