Hapa imefikiarobo 3 ya kitabu au nusu.naomba kufahamishwa!
Mhhhh!!! Humu JF story yoyote nzuri ikianza lazima zengwe litokee sijui kwanini??? Mpaka inaleta uvivu kusoma hizi story,.............yaani sijui kwanini??? Mnatutesa walevi sisi wa story.....wito kwa wote msiwe mnaleta story ambazo hamtakuja kuzimaliza,ukija na story uwe na uhakika wa kuimalizia,nisameheni bure kama nimewakwaza.
halafu ndo anataka tununue wakati utamu umekwisha!!! :-!
Mkuu huyu jamaa naona alipojua story zake zinasambaaa akamua afanye biashara ni.hivi tupo sehemu ya 70 kama sikosei hicho kitabu kikija muendelezo utakuepo ila sasa hakina ladha watu tushasoma kuanzia mwanzo had had uhondo ushanoga kama alitaka biashara bas asingeitoa mwanzo.had hapo n atoe tu kitabu wapo watakaonunua wapo tutakao acha kukinunua
kwa uandishi wa kibongo hii ndio jaribio la mwisho kabla ya kurudi Tanzania na mkewe mali zote atakbidhiwa na hati zote zimeandikwa kwa jina lake za urithi
story itaishia hivyo hakuna la zaidi
Mkuu uo ndio mfumo wanaotumia waandishi wengi wa hadithi huko facebook, huwa wanaandika nusu ili kuwavuta watu wapate hamasa ya kununua kitabu kikitoka.
So boring lakini unavutia mtu sehem ya 70
Mnakosea wakuu hii story bado sana,,,anaekuja kuimalzia ni mtoto wa eddy aliyeko tumbon kwa phidaya......mimi ni miongon mwa wataonunua kitabu toa utaratibu ndugu mwandishi npo pamoja na wewe
Hicho ndio wanakosea unakuja kununua kitabu bado sehemu chache hadithi iishe. Na hata kama akitoa kitabu hakitauza sana kama ambavyo asingeitoa kabisa.
Akwende zake kule basi angesema toka mwanzo kama atatoa epsod chache then kutakuwa na kitabu kizima ambacho kitauzwa au itatakiwa ulipie kiasi kadhaa ili uipate Stori nzima, so mtu uamue kabla hujaanza kusoma kuliko hivi alivyofanya, watu tushanogewa alafu anaanza kutulingia!