Hot talk na Heaven on Earth live

Hot talk na Heaven on Earth live

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,681
Reaction score
8,736
Its Friday, its hot talk.

Nawakaribisha jukwaani mpate mavituz, mambo ya ukweli kabisa.

Leo tunae HOE! Binti anaesifika kwa mrengo wa kulia huyu! Leo tumebadili upepo kidogo.

Tumehama kidogo mrengo wa kushoto tumehamia mrengo wa kulia kutest zali. Pata mambo. Naomba niwashukur washiriki waliopitia kiti hiki mpaka sasa ni @ Lara 1, angelita Tumboo na leo tunae Sr. HOE.

How better can it get? Hoe karibu kwenye bunsen burner.
 
. Karibu kwenye kipindi natumai
umejiandaa vya kutosha na MMU hot
talk? Unafahamu kilichowapata
washiriki wengine.
 
. Karibu kwenye kipindi natumai
umejiandaa vya kutosha na MMU hot
talk? Unafahamu kilichowapata
washiriki wengine.

Yeah nafaham kilichowapata maana nimekua nafatilia Hot talk zilizopita... ndio hivyo watu hamuwezi kufikiria na kuwa na mitizamo sawa kubwa ni kuheshimu mawazo ya mwenzako.. ukubali kukosolewa na unaekosoa tumia lugha nzuri..

Am ready
 
Kipindi kinasimangwa sanaaaa hiki, lakini wabongo hamuachi kuingiaaaa! Chuki hamna ila roho zinawauma! Hahahaaaaaaaaaaa! Wapi wa wabeba box full povu akiingia na lazima aingie humu. lol! Tutulie jamani. YATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Wabeba box! ina maana unamzungumzia raisi Nyani Ngabu? au wananchi wake?
 
Last edited by a moderator:
povu khatari unaweza ukalowekea nguo wiki nzima jinsi linavyo miminika teh teh,ooops kumbe umesema tutulie ooooh let me shut my bowl
Kipindi kinasimangwa sanaaaa hiki, lakini wabongo hamuachi kuingiaaaa! Chuki hamna ila roho zinawauma! Hahahaaaaaaaaaaa! Wapi wa wabeba box full povu akiingia na lazima aingie humu. lol! Tutulie jamani. YATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
Kipindi kinasimangwa sanaaaa hiki, lakini wabongo hamuachi kuingiaaaa! Chuki hamna ila roho zinawauma! Hahahaaaaaaaaaaa! Wapi wa wabeba box full povu akiingia na lazima aingie humu. lol! Tutulie jamani. YATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

Acha dada yangu kuharibu thread, watu wengine hawapendi lugha kama hyo uliyotumia, ni ushuri tu kama nimekuuzi nisamehe. thanks
 
Back
Top Bottom