Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
wakina Shy land tunasubiri ruhusa kwanza au tunatwanga tu. hatujua bado miss neddy

. Karibu kwenye kipindi natumai
umejiandaa vya kutosha na MMU hot
talk? Unafahamu kilichowapata
washiriki wengine.
We nae kwa mikelele unaboaje??? Hujuagi kutulia???
Kipindi kinasimangwa sanaaaa hiki, lakini wabongo hamuachi kuingiaaaa! Chuki hamna ila roho zinawauma! Hahahaaaaaaaaaaa! Wapi wa wabeba box full povu akiingia na lazima aingie humu. lol! Tutulie jamani. YATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

Tyta if you insist nimtaje!Wabeba box! ina maana unamzungumzia raisi Nyani Ngabu? au wananchi wake?