hivi ili usome barchelor za engineering lazima upitie PCB!
NA KAMA PCM NDO ANASTAHILI NI FULCUT ZIPI ZITAMSUMBUA PCB? AU AKIKAZA MAMBO SAWIA..
NIPENI MTAZAMO WENU!
Nimekuelewa japo bango lako lina kasoro kidogo. Kifupi zitamsumbua hesabu. Maana pcb wanasoma applied math wkt pcm ni pure advanced math.Civil Engineering, encieonmental engineering nmeona PCB weng wameisoma hasa pale ARU
Fulcuty au topic? Engineering ni pana sana. Kama ambavyo biology inamsaidia m2ni fulcut zipi zinahitaji sana mathematics!
Ila mbona kuna PCB wengine wanasoma telecom!
ninavyojua engineering ni physics na kwenye physics kuna hesabu sasa ukirudi kwenye ukweli utaona hawa wote pcm na pcb wamesoma physics na sometimes pcb ndo anajua zaidi physics kuliko pcm na hili mnaliongeleaje?
Ila si kuna pcb wanahitimu engineering nahisi kila kitu ni kujitoa tu.

Unaposahihishwa ukubali na ujifunze. Typing error sio kisingizio cha makosa tele katika post fupi mbili - fulcut, barchelor, ufaham, hyo! Kuwa makini kijana!acha kujitoa ufaham bro hyo ni typing error!
sometimes pcb ndo anajua zaidi physics kuliko pcm na hili mnaliongeleaje?.
Acha utani chali yangu,PCM ndo wako nondo physics.PCB wako nondo kwenye kemia.
dogo usijipe moyo..hio BAM yako haiwezi kukufanya kuawa engineer..st joseph ndio unaweza kusoma engineering ukiwa PCB but UDSM, DIT,UDOM huwezi..even bsc in computer science,bsc with computer science na bsc in electronic science and communication pale udsm huwezi kusoma kama umesoma PCB..wanahitaji mtu aliesoma pure mathematics..