Hot topic abt engineering

duh wakubwa wanaipinga PCB
Hapa sio bure kuna kitu! Unajua pcb ni ngumu kuliko pcm kama mtu alimudu pcb hawezi shindwa engineering mpo hapo! Mimi anko wangu alisoma pcb na chuo akachukua bcs ya telecom sasa yupo airtel anakula tano!

nani alikuambia hvo....ugumu au urahisi wa combination ni kichwa chako tu
 
:disapointed: ACHENI KUJIPA MOYO BILA MATHEMATICS ENGINEERING SAHAU LABDA UHONGEWE HIYO BAM YAKO HUWEZI APPLY KWENYE ENGINEERING FIELD ( CHEZEA PURE WEYEEEEE)
 
:disapointed: ACHENI KUJIPA MOYO BILA MATHEMATICS ENGINEERING SAHAU LABDA UHONGEWE HIYO BAM YAKO HUWEZI APPLY KWENYE ENGINEERING FIELD ( CHEZEA PURE WEYEEEEE)
Bora useme wewe..maana hawa wanaiona biology yao yakike inaweza kuwafanya wakawa maengineer
 
Acha utani chali yangu,PCM ndo wako nondo physics.PCB wako nondo kwenye kemia.

PCB anaconcetrate zaidi kwenye bios na chemistry, PCM anaconcetrate zaidi kwenye physics na maths.
upo sawa kabisa mkuu,in general PCM wapo vizuri kwenye physics na PCB wapo vizuri kwenye chemistry.
 
ni fulcut zipi zinahitaji sana mathematics!
Ila mbona kuna PCB wengine wanasoma telecom!

mkuu dullahyo na vp anayesoma Bachelor of computer science wakati advance alikuwa combination ya HKL?kuna ugumu gani anaokutana nao hapa?
 
:disapointed: ACHENI KUJIPA MOYO BILA MATHEMATICS ENGINEERING SAHAU LABDA UHONGEWE HIYO BAM YAKO HUWEZI APPLY KWENYE ENGINEERING FIELD ( CHEZEA PURE WEYEEEEE)

Labda electrical eng ya SAUT. Saut ndo chuo pekee TZ inayotoa Bsc. Electrical for 3 years direct from f6 so ithink ata ukidoma CBG unaweza ukaipata hahahahahahahhahshh
 
mkuu dullahyo na vp anayesoma Bachelor of computer science wakati advance alikuwa combination ya HKL?kuna ugumu gani anaokutana nao hapa?

Duuuuuuh HKL anapga computer sc??? Au kampala university nn... daaah kwa style hii hakuna aja ya kukomaa sasa na PCM PGM PCB EGM wkat ata HKL anapat computer science
 
kweli kuna jamaa kachaguliwa computer science st joseph na kasoma HGK!
 
Inategemea na chuo mkuuu, vyuo vingine kama UDSM,DIT nk husomi ngoooo, ila kiukweli vyuo vingine sitaki kuvitaja hata EGM wapo kibao washikaji wanapiga engineering, so ni wewe tu.Bongoo hii ukiwa na hela hata HGL utasoma tu ila watakupigisha preentry ya kizushi miezi miwili utalipia dola 800 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…