Mkanda kuwa juu ya luksi ni kosa na mshonaji sio mvaajiUliyoandika nasema upo sahihi kwa mtazamo wangu.
Ila ikiwa hiyo picha ndiyo ulichozungumza si sawa.
1.Kiatu ulichovaa ni black wakati huo mkanda ni brown (Vinapaswa viwe na rangi moja)
2.Suruali ina lux (kama nimekosea nirekebishe) kubwa wakati mkanda ulionao ni mdogo hivyo inafanya mkanda kupanda juu ya lux hii haitakiwi.
3.Aina ya kitambaa ulichochagu (Hapa nisiseme sana tunatofautiana).
4.Aina ya saa uliyovaa haendani na namna ulivyovaa.
NB....Kiatu ulichovaa ni kizuri ila umekishusha hadhi kukivalia nguo zisizoendana.
si ndo hili hili la urembo na utanashati.. tupia tu zile suruali za suti ili tujifunze zaidi 😊Hv humu JF hakunaga jukwaa la Fashion? watu wapenda fashion wakutane humo watambiane.
Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi ulikuwa una uliziwa vipi ulishaonekana kule kwenye uzi mkuu ?Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa ni CONTENT ambazo nimeeandika Just Ready to get some knowledge about FASHION&STYLES.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuuKuna uzi ulikuwa una uliziwa vipi ulishaonekana kule kwenye uzi mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa suruali hiyo hutakiwi kabisa kupita karibu na kituo chochote cha mafuta...
#dumesuruali...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app