Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Hot topic: Uvaaji wa suruali za kitambaa

Uliyoandika nasema upo sahihi kwa mtazamo wangu.

Ila ikiwa hiyo picha ndiyo ulichozungumza si sawa.

1.Kiatu ulichovaa ni black wakati huo mkanda ni brown (Vinapaswa viwe na rangi moja)

2.Suruali ina lux (kama nimekosea nirekebishe) kubwa wakati mkanda ulionao ni mdogo hivyo inafanya mkanda kupanda juu ya lux hii haitakiwi.

3.Aina ya kitambaa ulichochagu (Hapa nisiseme sana tunatofautiana).

4.Aina ya saa uliyovaa haendani na namna ulivyovaa.

NB....Kiatu ulichovaa ni kizuri ila umekishusha hadhi kukivalia nguo zisizoendana.
Mkanda kuwa juu ya luksi ni kosa na mshonaji sio mvaaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hii thread unataka kuifuta? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom