Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
Wadau, ninatarajia kutua Tanga kwa Mei Mosi.
Naomba wenye uzoefu mnijulishe kuhusu hoteli zenye KIWANGO cha ukweli hapo Tanga.
Namaaanisha huduma bora, safi, salama, ya kisasa. nawasilisha.
 
Jaribu hii...Tanga Beach resort huduma zao ziko poa sana.

Tanga+Beach+Resort.JPG
 
Of course tanga beach resort. Huu mkoa hotel nzuri hakuna ila hiyo.
 
"Vikao vingi wanafanyia mkonge hotei agenda za huko hawatiambii sie ukwehi"--Mkoloni
 
Nyinda View ni REASONABLE au SILVER RADO. Hiyo Tanga Beach Resort itakuwa ina bei za ajabu ajabu..
 
Nenda Sahare weee Uliza tu Hotel ya Mama Salma Kikwete.... Utaonyeshwaa !
 
Nenda tanga beach resort ni pm nikupe namba ya mhusika anaitwa nzaro ndio marketing officer wao pamoja na jamaa mmoja tall hivi hawa wakenya wanaijua customer care
 
Galanos hotel-nguvumali,ndani kuna hoteli ndogondogo nne
Mkonge
Pamba
Chai
Kahawa
meneja ni Ndg.Msocha anatoa huduma bora sana wakishirikiana na Mac Master Luzilo
 
tanga beach resort,you will like it..
hapo ni pazuri sana,hata mm i've been there last time nilipokwenda kikazi! na ndio hoteli nzuri maarufu wenyeji wanavyodai ila shurti uwe na mpunga wa kutosha
 
Niliwahi fikia mkonge hotel back In 2005, ilikuwa top class. Sijui kama hadi sasa iko vile vile. If yes, I would definitely recommend it.
 
Galanos hotel-nguvumali,ndani kuna hoteli ndogondogo nne
Mkonge
Pamba
Chai
Kahawa
meneja ni Ndg.Msocha anatoa huduma bora sana wakishirikiana na Mac Master Luzilo

MKUU!

Hii ya Galanos Hotel ni kali. Nadhani beach yake ni kule Utofu kama sikosei. Na vyoo vyake ni vile vile vya Western Block au. Na dinning hall ni kule Kazole na Soweto kama sikosei. Nilikaa kwenye hii hotel miaka minne hivi. ilikuwa poa sana.
 
Nenda tanga beach resort ni pm nikupe namba ya mhusika anaitwa nzaro ndio marketing officer wao pamoja na jamaa mmoja tall hivi hawa wakenya wanaijua customer care

I'll do. Thanx
 
Central city hotel iko barabara ya 8 juzi tu hapa nimemkuta Jussa anakunywa juice.
 
Kuna restaurant nzuri sana ila imekaa kizungu zungu sana hata wenyeji wa tanga wengi hawapajui, wanauza chakula kizuri kama prowns, lopster, pizza, vinywaji. Salad nk... na wanatoa huduma ya malazi, inatizamana karibu na mkonge hotel. Na iko expensive wanaotoa huduma ni wagiriki.
 
Nyumbani hotel ni pazuri maana ni huduma nyingine zote utazi-access kirahisi coz ipo city centre!
 
Back
Top Bottom