Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

Hotel gani bora zaidi Mjini Tanga?

Nyumbani hotel ni pazuri maana ni huduma nyingine zote utazi-access kirahisi coz ipo city centre!

hizo hotel mnazomtajia ni za gharama sana, ndg karibu malindi hotel, iko town kabisa, sehemu tulivu na bei zetu ni nafuu saaaana.
 
Nyumbani Hotel is centrally located, Panori, further on after Mkonge. I now hear there is new hotel in Chumbageni called The Pope?
 
Nyumbani Hotel is centrally located, Panori, further on after Mkonge. I now hear there is new hotel in Chumbageni called The Pope?

Sijakaa The Pope, lakini NYUMBANI ni nyumbani kweli, unapata hisia za kuwa beach, za kuwa nchi kavu, za kuwa porini, za kuwa katikati ya jiji, yaani acha tu! Highly recommended-
 
Back
Top Bottom