Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
We bwana dalali!Umeongeza Cha juu shilingi ngapi?Mi Nina 4bHOTEL INAUZWA
LOCATION KARIAKOO
Specifications.
Single room viko 27 50000/day
Double room viko 12 @ 70000/day
Special room viko 12 @ 85000/day
Frem kubwa 1 kwa mwezi 4,500,000/ month
Frem ndogo 1 kwa mwezi 2,600,000/ month
Mnara wa haloter kwa mwezi 27,000,000
Store zipo 10 kila moja 500,000/ month
Restaurant 1 haijapangishwa
Hoter ina floor 8
Bei Bilion 10 mazungumzo mezani
Karibu wawekezaji,wafanyabiashara n.k
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Kwa haraka haraka inaingiza Mil 40+ kwa mwezi, bila kutoa matumizi ya mishahara, umeme, maji, Kodi and other UtilitiesHOTEL INAUZWA
LOCATION KARIAKOO
Specifications.
Single room viko 27 50000/day
Double room viko 12 @ 70000/day
Special room viko 12 @ 85000/day
Frem kubwa 1 kwa mwezi 4,500,000/ month
Frem ndogo 1 kwa mwezi 2,600,000/ month
Mnara wa haloter kwa mwezi 27,000,000
Store zipo 10 kila moja 500,000/ month
Restaurant 1 haijapangishwa
Hoter ina floor 8
Bei Bilion 10 mazungumzo mezani
Karibu wawekezaji,wafanyabiashara n.k
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Siku zote huwa ni swali langu la kwanza hasa property ya biashara inapouzwa kama Nyumba, hotelx gari au chimbo cha uzalishajiMuwe mnatoa na sababu za kuuza sio kusema hotel inaingiza hela mingi halafu hapohapo inauzwa. Mmiliki hapendi hela?
Ukiona hivyo ujue hio investment imebumaSiku zote huwa ni swali langu la kwanza hasa property ya biashara inapouzwa kama Nyumba, hotelx gari au chimbo cha uzalishaji
Allen Kilewella -aione taarifa kwenye jalada kwa ajili ya mahesabu ya kihasibu.HOTEL INAUZWA
LOCATION KARIAKOO
Specifications.
Single room viko 27 50000/day
Double room viko 12 @ 70000/day
Special room viko 12 @ 85000/day
Frem kubwa 1 kwa mwezi 4,500,000/ month
Frem ndogo 1 kwa mwezi 2,600,000/ month
Mnara wa haloter kwa mwezi 27,000,000
Store zipo 10 kila moja 500,000/ month
Restaurant 1 haijapangishwa
Hoter ina floor 8
Bei Bilion 10 mazungumzo mezani
Karibu wawekezaji,wafanyabiashara n.k
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3609054
Mtu anakwambia Nauza Gari yangu ya Mzigo Milioni 23, inapiga kazi kwa siku anaingiza hadi Laki mbili, ukimuuliza kwanini sasa anaauzaUkiona hivyo ujue hio investment imebuma
Hana majibu inashangaza sanaMtu anakwambia Nauza Gari yangu ya Mzigo Milioni 23, inapiga kazi kwa siku anaingiza hadi Laki mbili, ukimuuliza kwanini sasa anaauza
Anakupenda.Anataka mshee "uzuri na utajiri" utokanao na gari hilo.Mtu anakwambia Nauza Gari yangu ya Mzigo Milioni 23, inapiga kazi kwa siku anaingiza hadi Laki mbili, ukimuuliza kwanini sasa anaauza
Anakwambia anashinda Tu ana dharuraHana majibu inashangaza sana
HahahaAnakupenda.Anataka mshee "uzuri na utajiri" utokanao na gari hilo.
Maana yake anaeuza aidha kuna vitu vimemkumba au amepata wazo la biashara nyingine au anaona hio haimlipi km alivyotarajia au location hajaipenda au ana shida na hio hela haraka afanye jambo fulani sababu ni nyingi ila mfano mimi nikikuuzia ardhi niliyonayo sitokwambia kwanini nakuuziaSiku zote huwa ni swali langu la kwanza hasa property ya biashara inapouzwa kama Nyumba, hotelx gari au chimbo cha uzalishaji
aah lazima kuna shida hapoAnakwambia anashinda Tu ana dharura