INAUZWA Hotel Inauzwa ipo Kariakoo Dsm, bei Ni Billioni 10

INAUZWA Hotel Inauzwa ipo Kariakoo Dsm, bei Ni Billioni 10

HOTEL INAUZWA

LOCATION KARIAKOO

Specifications.
Single room viko 27 50000/day
Double room viko 12 @ 70000/day
Special room viko 12 @ 85000/day
Frem kubwa 1 kwa mwezi 4,500,000/ month
Frem ndogo 1 kwa mwezi 2,600,000/ month
Mnara wa haloter kwa mwezi 27,000,000
Store zipo 10 kila moja 500,000/ month
Restaurant 1 haijapangishwa
Hoter ina floor 8
Bei Bilion 10 mazungumzo mezani
Karibu wawekezaji,wafanyabiashara n.k
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3609054
Wenye kumudu kununa hiyo Bidhaa, 90% hawapo humu JamiiForums. Tafuta mawaziri na Wabunge wakusaidie kuuza kisha wao pia unawapa percentage fulani.

NB: Sio lazima uufuate ushauri wangu.
 
Wengine wanauza wakikimbizana na Benki wasije muwahi maana Benki hawanaga uchungu wanataka warudishe tu mkopo wao wakipewa na karushwa kidogo mnunuzi ndio wanauza chap.
 
Back
Top Bottom