Inawezekana pia ameona fursa kubwa zaidi itakayorudisha pesa mapema zaidi.Ukiona hivyo ujue hio investment imebuma
LabdaInawezekana pia ameona fursa kubwa zaidi itakayorudisha pesa mapema zaidi.
Wenye kumudu kununa hiyo Bidhaa, 90% hawapo humu JamiiForums. Tafuta mawaziri na Wabunge wakusaidie kuuza kisha wao pia unawapa percentage fulani.HOTEL INAUZWA
LOCATION KARIAKOO
Specifications.
Single room viko 27 50000/day
Double room viko 12 @ 70000/day
Special room viko 12 @ 85000/day
Frem kubwa 1 kwa mwezi 4,500,000/ month
Frem ndogo 1 kwa mwezi 2,600,000/ month
Mnara wa haloter kwa mwezi 27,000,000
Store zipo 10 kila moja 500,000/ month
Restaurant 1 haijapangishwa
Hoter ina floor 8
Bei Bilion 10 mazungumzo mezani
Karibu wawekezaji,wafanyabiashara n.k
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3609054
Kwanini mkuu??Kati ya sekta itakufa vibaya ni sekta ya real estate
😁😁 kweli hilo ni kubwa sanaaa.hapa ni matangazo madogo madogo jamani.
Umejificha zako Tunguu Kizimkazi, hata hujui kama mtaani maisha yamekuwa ni tete kutokana tu na laana uliyotuletea nchini mwetu.Muwe mnatoa na sababu za kuuza sio kusema hotel inaingiza hela mingi halafu hapohapo inauzwa. Mmiliki hapendi hela?