Marehemu sahivi mzee mboya aliuza zaidi ya bln 14mrangi hv lile Jengo pale Mikocheni la Mzee mbowe limeuzwa ngapi?
ila bro mrangi nakubaligi sana mastori yako ya town..mkuu dar yote naona iko kichwani kwakoMarehemu sahivi mzee mboya aliuza zaidi ya bln 14
Mambo ya kibenki mikopo nasikia
Kabakia na gorofa pembeni jirani na karamagi
Sasa aliyenunua si umeona vurugu aliyofanya kawatoa wapangaji wote kazitindua
Mijengo yote vunjavunja mwamba Katia mabilion mengine,aise kuna watu pesa ipo bana
Ova
Zamani ilikuwa whitestar apartments muda wote zilikuwa full na watejamrangi hv lile Jengo pale Mikocheni la Mzee mbowe limeuzwa ngapi?
Uko serious kweli dalali!? Kwamba humu Jf utampata mnunuzi wa Dolar mil 6?#realestate
Hotel hotel hotel
Hotel ina UZWA
IPO samora
Ina vyumba vya kulala 70
Ina sehemu ya ukumbi wa mkutano
Bei sawa na bure mteja
Njoo haraka ujiokotee
Dollar mil 6
karibu sana Tajiri tupo kwa ajili yako
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#tanzania #houseforsale #property #viral
Watu pesa wanayo utashangaa inavuliwaUko serious kweli dalali!? Kwamba humu Jf utampata mnunuzi wa Dolar mil 6?
Si uliona ile nyumba ilikuwa ya mwakapugi(Rip) alikuwaga katibu nishati madini familia iliuza 600 sjui 700 watu wakaipiga chini yote wakaanza upya kujenga ghorofa la kuishimrangi hv lile Jengo pale Mikocheni la Mzee mbowe limeuzwa ngapi?
Ile whitstar kanunua mkulungwa mwenyewe,sijui alitoa bili ngapi pale ,halafu kavunja vunja mwanzo mwishoZamani ilikuwa whitestar apartments muda wote zilikuwa full na wateja
Mzee mboya alivyouza tu pale hakumalizi miezi 2 alikutwa na mauti(RIP)
Kama sijakosea pale kuna
Apartment za zaidi ya 8 zilikuwepo kama 4
Mwamba aliyechukua alizibomoa zikawa skeleton
Ova
Si unajua aliyenunua pale ni Mkuu? Bln 14 ,watu Wana hela aisee halafu kavunja vunja Jengo loteMarehemu sahivi mzee mboya aliuza zaidi ya bln 14
Mambo ya kibenki mikopo nasikia
Kabakia na gorofa pembeni jirani na karamagi
Sasa aliyenunua si umeona vurugu aliyofanya kawatoa wapangaji wote kazitindua
Mijengo yote vunjavunja mwamba Katia mabilion mengine,aise kuna watu pesa ipo bana
Ova
Yah mchongo wote wa pale nauelewa,ila tusiongeze maneno jf isije kutupiga banIle whitstar kanunua mkulungwa mwenyewe,sijui alitoa bili ngapi pale ,halafu kavunja vunja mwanzo mwisho
Mpaka mzee mboya kuuza pale nlishangaa sana anyway mambo ya benki mkopo,biashara zake za trucks huwezi juaSi unajua aliyenunua pale ni Mkuu? Bln 14 ,watu Wana hela aisee halafu kavunja vunja Jengo lote
YaaniALIIJENGA KWA DOKLER EEH??