INAUZWA Hotel inauzwa, ipo Samora Dar es Salaam. Bei ni dollar milioni 6

Dollar milioni 6×hela za madafu= Bilioni ngapi za madafu?
 
mrangi hv lile Jengo pale Mikocheni la Mzee mbowe limeuzwa ngapi?
Marehemu sahivi mzee mboya aliuza zaidi ya bln 14
Mambo ya kibenki mikopo nasikia
Kabakia na gorofa pembeni jirani na karamagi
Sasa aliyenunua si umeona vurugu aliyofanya kawatoa wapangaji wote kazitindua
Mijengo yote vunjavunja mwamba Katia mabilion mengine,aise kuna watu pesa ipo bana

Ova
 
ila bro mrangi nakubaligi sana mastori yako ya town..mkuu dar yote naona iko kichwani kwako
 
mrangi hv lile Jengo pale Mikocheni la Mzee mbowe limeuzwa ngapi?
Zamani ilikuwa whitestar apartments muda wote zilikuwa full na wateja
Mzee mboya alivyouza tu pale hakumalizi miezi 2 alikutwa na mauti(RIP)
Kama sijakosea pale kuna
Apartment za zaidi ya 8 zilikuwepo kama 4
Mwamba aliyechukua alizibomoa zikawa skeleton

Ova
 
Uko serious kweli dalali!? Kwamba humu Jf utampata mnunuzi wa Dolar mil 6?
 
Ile whitstar kanunua mkulungwa mwenyewe,sijui alitoa bili ngapi pale ,halafu kavunja vunja mwanzo mwisho
 
Si unajua aliyenunua pale ni Mkuu? Bln 14 ,watu Wana hela aisee halafu kavunja vunja Jengo lote
 
Ile whitstar kanunua mkulungwa mwenyewe,sijui alitoa bili ngapi pale ,halafu kavunja vunja mwanzo mwisho
Yah mchongo wote wa pale nauelewa,ila tusiongeze maneno jf isije kutupiga ban
😄
Mzee wangu anaishi mikocheni ujuwe tokea miaka ya 80
Nataka nkirudi nije nimtembele mzee haule yule alikuwaga rubani wa nyerere
Sijui anaendeleaje naye maana naye age imeenda kuna wakati alintumia ujumbe yuko India,nikijaga huko wazee huwa nawachangamsha amsha amsha nyingi mpk kwa mzee mutahaba naye I hope he is doing fine

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…