Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza kutuamkwa lengo la kushusha na kuchukua abiria wengine

1741873957529.png
.
Habari zaidi kwa kina GONGA HAPA
 
View attachment 3269269.
Habari zaidi kwa kina GONGA HAPA
Hii ni concept tu haikuwahi kufanyika, so check your info usahihishe again
 
Sio kitu kisicho wezekana kwani ulimwengu una nguvu asili nyingi kama nyukilia, electromagnetic, dark matter, mionzi ya jua na vingi vingi ambavyo vipo juu ya upeo wa mwanadamu.

Ipo siku hakutakuwa na kisichowezekena duniani hapa
 
Mtoa mada umesoma lakini kilichoandikwa kwenye hiyo link uliyoweka?
 
Back
Top Bottom