Hii ni concept tu haikuwahi kufanyika, so check your info usahihishe againHoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza kutuamkwa lengo la kushusha na kuchukua abiria wengine
View attachment 3269269.
Habari zaidi kwa kina GONGA HAPA