Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

Hotel nzuri Ruaha National Park ni ipi?

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu,

Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa

Asante.
 
Ni vema ungesema pia na bajeti yako kwa siku chumba cha shingapi?30k,40k,50k,60k.....
 
Ruaha River Lodge hii ipo ndani ya hifadhi, na restraurant yake ipo mtoni hivyo utashuhudia wanyama mbalimbali wakija kunywa maji na kwenye malisho.

nje ya hifadhi kuna hiltop na sunrise.
 
Ulifanikiwa kwenda Ruaha River Lodge? tupatie uzoefu kidogo?
 
Back
Top Bottom