Hotel nzuri

botafongo jr

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
107
Reaction score
17
Habari zenu wana jamvi! Uzi huu nimeuweka maalum kwaajili ya kujuzana kuhusu hotel mbalimbali kwa jiji la dar zenye huduma nzuri na bei nafuu kuanzia elf 30 had laki 1 kwa huduma ya kulala.
Nawakaribisha wana jamvi
 
Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua.
 
Lamada hotel& apartment Ipo ilala boma iko vizuri bei kanzia 20 hadi laki 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…