Hotel nzuri

Hotel nzuri

Dah....kuna moja huku Tandale..... MTU na MTU Lodge..... ni salama sana...ina milango 9 ya kutoka nje ...[emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] sikujua kama unamind nikimuita

hearly usije na maherufi yako makubwa
Enzi hizo mama alikuwa na bata sasa siku anaweza kuwafungulia ili banda lisafishwe dah mtajuta wanaweza kwenda kucheza kwenye matope halaf ghafla unamuona huyo keshaingia sebuleni na tope zake

Sasa scenario hiyo naifananisha na kuja na limwandiko la herufi kubwa unaandika mistari kama mitano hivi
 
Ukiwa mwongo usiwe msahalifu si uliniambia unaishi mbagala mbona hueleweki jamani
Nimehama. Kodi ikiisha huwa nazuga miezi kadhaa nikitimuliwa nakuwa nimekaa bure miezi kadhaa
 
Nashukuru umepata ujumbe sio unatuletea ubata jukwaani
aiseee kumbe upo kishari """ mbona hkuna policy za jf zinazosema mtu asipost kwa herufi kubwa . .au una kinembe kwenye makalio kinakuwasha ....."" u better mind ur business niga...
 
Oooooh come down boy am sorry sikuja kishari mzaz nisamehe bure
Its all about jokes mzee naona unaanza kutukana matusi ya nguoni

Sorry bro
 
Enzi hizo mama alikuwa na bata sasa siku anaweza kuwafungulia ili banda lisafishwe dah mtajuta wanaweza kwenda kucheza kwenye matope halaf ghafla unamuona huyo keshaingia sebuleni na tope zake

Sasa scenario hiyo naifananisha na kuja na limwandiko la herufi kubwa unaandika mistari kama mitano hivi
Hahaha itabidi akanywe aache hii tabia ya kutujia na maherufi makubwa kama anamwandikia mwenye uono hafifu
 
Ko umenuna?
lol come down ...nawezaje kununa sasa!!? hii ni forum watu wote hatuwezi kuwa na Mawazo sawa jamani...that's nikamjibu kuwa tuko pamoja ..ili kumrejesha katika hali yake ya kawaida aliyokuwa nayo ....kwani unenisahau madam. !??
 
Ndo nilikua nataka nijue umeanza lini kukasirikia utani
 
Back
Top Bottom