Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miguno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miguno
Naishi hapo jiraniEbu nijibu basi
Enzi hizo mama alikuwa na bata sasa siku anaweza kuwafungulia ili banda lisafishwe dah mtajuta wanaweza kwenda kucheza kwenye matope halaf ghafla unamuona huyo keshaingia sebuleni na tope zake
Karibu madam.Ntakuja unipeleke loyo
Ukiwa mwongo usiwe msahalifu si uliniambia unaishi mbagala mbona hueleweki jamaniNaishi hapo jirani
Nashukuru umepata ujumbe sio unatuletea ubata jukwaanihahaaa bangi sio chakula ujue...!!!yaelekea umedata nazile kokooo koooo ..haya ngoja nikuachie
lol ..teheeeeNlijua tu hawezi kosa msaada
Nimehama. Kodi ikiisha huwa nazuga miezi kadhaa nikitimuliwa nakuwa nimekaa bure miezi kadhaaUkiwa mwongo usiwe msahalifu si uliniambia unaishi mbagala mbona hueleweki jamani
aiseee kumbe upo kishari """ mbona hkuna policy za jf zinazosema mtu asipost kwa herufi kubwa . .au una kinembe kwenye makalio kinakuwasha ....."" u better mind ur business niga...Nashukuru umepata ujumbe sio unatuletea ubata jukwaani
aiseee kumbe upo kishari """ mbona hkuna policy za jf zinazosema mtu asipost kwa herufi kubwa . .au una kinembe kwenye makalio kinakuwasha ....."" u better mind ur business niga...
Oooooh come down boy am sorry sikuja kishari mzaz nisamehe bure
Its all about jokes mzee naona unaanza kutukana matusi ya nguoni
Sorry bro
Basi nitakuja kukutembelea kumbe tupo majiraniNimehama. Kodi ikiisha huwa nazuga miezi kadhaa nikitimuliwa nakuwa nimekaa bure miezi kadhaa
Hahaha itabidi akanywe aache hii tabia ya kutujia na maherufi makubwa kama anamwandikia mwenye uono hafifuEnzi hizo mama alikuwa na bata sasa siku anaweza kuwafungulia ili banda lisafishwe dah mtajuta wanaweza kwenda kucheza kwenye matope halaf ghafla unamuona huyo keshaingia sebuleni na tope zake
Sasa scenario hiyo naifananisha na kuja na limwandiko la herufi kubwa unaandika mistari kama mitano hivi
Ko umenuna?haina shida ....tuko pamoja
HahahhaaaahahhahahaaaaDah....kuna moja huku Tandale..... MTU na MTU Lodge..... ni salama sana...ina milango 9 ya kutoka nje ...[emoji13] [emoji13]
lol come down ...nawezaje kununa sasa!!? hii ni forum watu wote hatuwezi kuwa na Mawazo sawa jamani...that's nikamjibu kuwa tuko pamoja ..ili kumrejesha katika hali yake ya kawaida aliyokuwa nayo ....kwani unenisahau madam. !??Ko umenuna?
Ndo nilikua nataka nijue umeanza lini kukasirikia utanilol come down ...nawezaje kununa sasa!!? hii ni forum watu wote hatuwezi kuwa na Mawazo sawa jamani...that's nikamjibu kuwa tuko pamoja ..ili kumrejesha katika hali yake ya kawaida aliyokuwa nayo ....kwani unenisahau madam. !??
hahaaa dismiss it bhanaa...Ndo nilikua nataka nijue umeanza lini kukasirikia utani
Si kila mchangia maada anahusika kama akili yako ilivyo fikiri huwezi jua nimejua vipi ni maoni yangu tu,usimjudge mtu usiye mfahamu,kama ni manager je.Naona wewe ndo huwa mlipa lodge au sio
-am sorry