jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Aaaaa bas mama,Si kila mchangia maada anahusika kama akili yako ilivyo fikiri huwezi jua nimejua vipi ni maoni yangu tu,usimjudge mtu usiye mfahamu,kama ni manager je.
Mara Kigamboni [emoji40][emoji40][emoji40]Ukiwa mwongo usiwe msahalifu si uliniambia unaishi mbagala mbona hueleweki jamani
Bei zake zipoje?Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua.
Rombo pako poa, kuna moja ipo tandika maghorofani inaitwa kilimanjaro lodge ipo poa sana, bei 15 na 30, hapo ikifika jioni ni magari kibao yanajazana nahisi watu wanasingizia wana overtime job kumbe wapo lodgeaende nemax kinondoni ..hotel de Maggie kinondoni ..
pia kuna nyingine yaitwa chichi hotel ipo pale kino B...karibu na open university
pia kama yuko njema asogee mpka rhombo view shekilango sinza ....kwa hizo nadhani zitamtosha
hahaaRombo pako poa, kuna moja ipo tandika maghorofani inaitwa kilimanjaro lodge ipo poa sana, bei 15 na 30, hapo ikifika jioni ni magari kibao yanajazana nahisi watu wanasingizia wana overtime job kumbe wapo lodge
Poa nimekutolea mfano tu mi siyo manager ili usirudie tena kumjudge mtu usiye mfahamu yameisha utani una mahala pake.Aaaaa bas mama,
Huu uzi naona utani wangu umeenda kwenye ukweli maana mapovu nnayokutans nato duuuh
Nisamehe manager
Ngoja nikwambie kitu hiyo niliisema kama sehemu ya masikhara tu kwani kama ni kweli mm inanihusu nini?Poa nimekutolea mfano tu mi siyo manager ili usirudie tena kumjudge mtu usiye mfahamu yameisha utani una mahala pake.
Nakusalimia kakaNgoja nikwambie kitu hiyo niliisema kama sehemu ya masikhara tu kwani kama ni kweli mm inanihusu nini?
Bhana eeee dah kila ninayemgusa huku majanga,Nakusalimia kaka
Ngoja niongeze maarifaCc Mr Django
Utapita ufanye research zako hapa