Hotel ya hadhi ya nyota 5

Hotel ya hadhi ya nyota 5

Duuuu..nitalifikilia hilo mkuu nikitoka kula bata kwanza
Acha undezi hata kama una mvi.kulala hoteli ya nyota 5 sio chini ya laki 3 kwa siku.tafuta fikiria maendeleo acha ujinga
 
Hakuna hotel yenye "HAZI" zaidi africa. Kuna hotel zenye "HADHI" TU
 
Zanzibar kuna
Essque zalu Zanzibar
Valder azam luxury hotel
Breezes beach resort
Park Hayyat Zanzibar
Residences hotel
Duh hilo ni jina la hoteli! mbona refu hivyo.
 
Umenizalilisha sana mkuu tumbaku unaijua lakin wew[emoji17] [emoji17] ??
Tumbaku yenyewe ni BANGILI. kama umeshauza tumia fasta wakijashtuka wa kitengo jina kitu.
 
Back
Top Bottom