Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Wanajukwaa kwa masikitiko makubwa, habari zisizo rasmi "tetesi" ni kuwa Hotel ya kitalii ya RYANS BAY iliyopo jijini Mwanza itabomolewa kupita eneo la Reli.

Mwenye habari kamili atuhabarishe...

Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
 
Ndo waliompa kura Ngosha huko, acha waisome namba
 
kwani mradi wa SGR usha fika Mwanza au ndo yale yale ma reli yetu ya tangu uhuru?
 
Inawezekana maana wameweka x sehemu nyng mnooo ht vicfish kuna kpande kimewekwa x
Ni hatari
Ila kile kiwanda nao wamesogea mno relini, pia na yale makaburi ya wahindi nayo pia wanasema yatapitiwa
 
Weka picha ya hiyo hotel.....kama ni kweli basi mmiliki wake atakua kwa namna moja anajihusisha na chadema.
Ni wazo mfu mno hilo
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
 
Jamani mimi nataka niende Mwanza next week. Hotel gani ni nzuri ya kufikia? Nice food, clean rooms, drinks na interaction ya yale mambo yetu pendwa! Kwangu mimi Usafi na Usalama ni priority than anything!

Bajeti yangu 60-80K.

NB: Siulizii Guest House za akina Geita, Visano, Shinyanga et al. Huko nilishalala vya kutosha miaka hiyo!
 
Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
haya tunasubiri hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…