kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Wanajijengea tu bila kuwa na ramani ya mji pambavuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si umesema hapa unataka kupingua? Acha kujitamanisha. Au ndio umeanza kula kwa macho?ulete na picha ya misosi.
Yaani siku zote hizo mwanza sikukuona,can't believe itNgoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
hahahahahahhahahaya tunasubiri hahahahaaa
Wewe si umesema hapa unataka kupungua? Acha kujitamnisha. Au ndio umeanza kula kwa macho?ulete na picha ya misosi.
Hata leo niko Mwanza, wee sema tu uko wapi ili tukutane kwenye hiyo hoteli hahahahahahahahahYaani siku zote hizo mwanza sikukuona,can't believe it
Nishaondoka,but we can still make it some other time,seriouslyHata leo niko Mwanza, wee sema tu uko wapi ili tukutane kwenye hiyo hoteli hahahahahahahahah
hotel yangu masikini. I love that hole!
tehe tehe teheNishaondoka,but we can still make it some other time,seriously
Unaona,ushaanza mizenguotehe tehe tehe
nimechekelea kwa furaha kuu iliyopitilizaUnaona,ushaanza mizenguo
Then we have a deal!nimechekelea kwa furaha kuu iliyopitiliza