Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

Ngoja nikitoka hapa kibaruani kwangu saa tisa na nusu nitapita hapo kupata uhakika.
Hoteli ina bei kubwa ya vyakula, vinywaji na vyumba!!
Nitaleta mrejesho leo hii hii
mie ndie CHIKIRA MTABARI mmbeya mwandamizi katika jiji la Miamba
Yaani siku zote hizo mwanza sikukuona,can't believe it
 
Reli mali ya Umma ni muhimu kuliko hotel ya mtu/watu binafsi au taasisi, muhimu sheria ifuate mkondo wake ktk kufidia watu watakaoathirika kwa mradi huo.
 
Daaah, Nikienda Mwanza huwa napenda kufikia pale. Wahudumu wake pia wanajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…